Der Artikel wird am Ende des Bestellprozesses zum Download zur Verfügung gestellt.

Mirathi na Wosia: Utaratibu wa Kufungua, Kusikiliza na Kusimamia Mirathi na Wosia Kisheria Mahakamani (Legal, #1)

Sofort lieferbar | Lieferzeit: Sofort lieferbar I
ISBN-13:
9789987452439
Veröffentl:
2020
Seiten:
0
Autor:
Mgongoro Ernest Jonathan
Serie:
Legal
eBook Typ:
EPUB
eBook Format:
EPUB
Kopierschutz:
2 - DRM Adobe
Sprache:
Suaheli
Beschreibung:

Elimu kuhusu utaratibu wa kufungua, kusikiliza na kusimamia mirathi na wosia Tanzania ni muhimu. Umuhimu unaongezwa na migongano katika sheria. Sheria zinaratibu aina tatu za mirathi: ya kimila, kiislamu na ya kiserikali. Sheria na taratibu kwa mfano za mirathi ya kimila au ya kiislamu inaweza kukamilisha mirathi mahakamani lakini ikapingwa kwa kutumia sheria nyingine zinazolinda haki za makundi mbalimbali. Mapungufu haya yamechochea umuhimu wa elimu ya utaratibu wa kisheria wa mirathi na wosia kwa makundi mbalimbali Tanzania.

Kunden Rezensionen

Zu diesem Artikel ist noch keine Rezension vorhanden.
Helfen sie anderen Besuchern und verfassen Sie selbst eine Rezension.

Google Plus
Powered by Inooga