Kuwa Tofauti Si Ujinga Wala Si Ubaya

Kisa kutoka Afrika ya Kusini
 Paperback

30,21 €*

Alle Preise inkl. MwSt.|Versandkostenfrei
ISBN-13:
9781088080870
Veröffentl:
2022
Einband:
Paperback
Erscheinungsdatum:
21.12.2022
Seiten:
42
Autor:
Grace Zuzo
Gewicht:
115 g
Format:
254x203x3 mm
Sprache:
Suaheli
Beschreibung:

Maelezo ya KitabuChuaro alilelewa katika eneo la mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini. Kwa masomo yake ya shule ya upili, alihudhuria shule ya bweni katika kijji cha Transkei ambapo watu waliishi maisha ya kizamani. Yeye na marafiki zake walifikiri wasichana katika maeneo hayo ya mashambani walikuwa wajinga kwa sababu hawakuvaa kama wao na walisumbuka zaidi kwamba wasichana hawakufunika matiti yao. Jumamosi moja alasiri walipokuwa wakitembea, walikutana na wasichana wa mashambani na kuwauliza kwa nini hawakuvaa sidiria au blauzi. Wakati huohuo, wasichana wa jiji walijifunza kwa njia ngumu kwamba hawa wasichana wa vijijini walikuwa na akili sana, na kuwafanya watilie shaka akili zao wenyewe.

Kunden Rezensionen

Zu diesem Artikel ist noch keine Rezension vorhanden.
Helfen sie anderen Besuchern und verfassen Sie selbst eine Rezension.

Google Plus
Powered by Inooga